Watu 10 wanaotuhumiwa kumuua Dr. Mvungi wafikikswa mahakamani.
Watu kumi ambao wanatuhumiwa kumuua Dk. Sengondo Mvungi ambaye alikuwa mjumbe wa tume ya kuratibu maoni ya katiba wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jinini Dar es Salaam na kusomewa shtaka la kuua.
No comments:
Post a Comment