Bashir Hassan (kushoto) mshindi wa friji akikabidhiwa zawadi yake na Mr Championi nje ya ofisi za Global Publishers.
WASHINDI wa Droo Ndogo ya Promosheni ya Shinda Mahela na Championi iliyochezwa juzi, jana wakikabidhiwa zawadi zao nje ya ofisi za kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wachapishaji wa magazeti ya Championi, Uwazi, Ijumaa, Risasi, Amani na Ijumaa Wikienda zilizopo Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa washindi waliofika kuchukua zawadi zao ni Clement Michael mshindi wa Sofa Set, Bashir Hassan aliyejishindia Friji na Radephili Mcharo aliyejinyakulia Jezi.
(PICHA NA ISSA MNALLY / GPL)
No comments:
Post a Comment