ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 21, 2013

DJ LUKE KURUSHA USIKU WA MTANZANIA SESKA LOUNGE LEO JUMAMOSI DEC 21, 2013

Luke Music Factory inakukaribisha kwenye usiku wa Mtanzania utakaofanyika siku ya Jumamosi Dec 21, 2013 kwenye kiota cha maraha pendwa Seska Lounge fika uapate burudani kibongo bongo itakuwa ni usiku wetu, Tanzania yetu, miziki yetu, Dj wetu anuani ni 
2017 Veirs Mill Rd, 
Rockville, MD

Ukipa taarifa hiii mnong'oneze Mtanzania mwenzako kwani nyumbani ni nyumbani, HOME SWEET HOME

SIKU HII NI MAALUM KWA AJILI YAKO HAKUTAKUWA NA KIINGILIO

KaRiBuNi


No comments: