ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 21, 2013

MECHI YA WATANI WA JADI MPIRA UMEKWISHA SIMBA 3 - 1 YANGA

Simba line up: Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Musoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Henry Joseph, Amisi Tambwe, Said Hamis na Awadh Juma.

Yanga line up: Juma Kaseja - 29,Mbuyu Twite - 6 ,David Luhende - 3,Nadir Haroub "Cannavaro" - 23(C),Kelvin Yondani "Cotton" - 5, Athuman Idd " Chuji" - 24, Mrisho Ngassa - 17, Frank Domayo - 18, Didier Kavumbagu - 7, Hamis Kiiza - 20, Haruna Niyonzima - 8

Wafungaji wa Simba:

Dakika ya 13, Amissi Tambwe ameipatia Simba FC bao la kwanza.
Dakika ya 44, Amissi Tambwe ameipatia Simba FC bao la pili.
Dakika ya 64, Awadh Jumaan amepatia Simba SC bao la tatu

Emanuel Okwi aipatia Yanga goli la kufutia machozi
HABARI NA GPL
Mchezaji wa Yanga Yondan amepea kadi nyenkundu

No comments: