Kisomo cha hitma ya mama yake Latifa Mahundi wa Brooklyn,NY kufanyika Jumapili ya leo Dec 29 kuanzia saa 9 Jioni. Watanzania wote ndugu na marafiki tunaombwa kujitokeza, kwani ushirikiano wetu ndiyo mafanikio ya shughuri hii. Popote ulipo na ukiona ujumbe huu mwambie na mwenzio, shughuri hizo za kisomo zitafanyika Brooklyn,Ny kwa Address hii.
3375 Atlantic Ave
( Corner Crescent)
Cypress Hill Ny 11208.
Karibuni tujumuike na wafiwa
Karibuni tujumuike na wafiwa
8 comments:
Jee kisheria ya kiislam inafaa kukusanyika na kufanya kisoma swali
swali zuri lakini naona waliomo wengi hapa hawanaelimu ya dini bora ukaulize walionayo au katika blog za kiislamu za sheria.
na pia inategemea wewe ni muislamu wa aina gani ahli sunna, baath,wa bidaa etc so jaribu ukiuliza swali ujua pia wewe ni wa aina gani ili ukimuliza huyo sheikh wako apate kukujibu
jambo la pili ni kweli unahaki ya kuuliza swali hili kujua kwa sababu siku hizi watu wamefanya maziko kama kitchen party si kwa wafiwa hii comment lakini wa wale wanaokwenda kuwapa pole wafiwa utadhani wanakwenda harusini na kuchanganyika na wanawake na wanaume tena hapo ndo kujionyesha na masifa tele haya yanatokea kwa kukosa elimu ya dini na ukiwaambia watu wanakuona wewe mnoka na bidaa umezidi so ndo maana watu wenginewe hawaendi mazikoni siyo kwamba hatataki ila tuu wanaona ule mtizamo wote wa watu pale mazikoni hauwafai wao japo kuwa wanataka kwenda kuwafariji wenzao walio fiwa.
kuna watu kwa mfano anapewa juzu mmoja kusoma basi anasoma mistrari miwili na anasema kisha maliza tena wapo wengi hata sijui kafunzwa na nani quraan kama hutaki au huwezi kusoma hiyo juzuu mmoja nzima vuta uraadi kwanza ukisoma hiyo quran na wewe pia Allah anakubarik na kukujaza kila aina ya kheir hujui kheir za Allah zitakushukia vipi wewe mjaaa
na jambo jinginewe pia tuwe waastaarabu japo chembe okay mwenzetu kafiwa mimi ninayekujibu siwajui lakini nitajaribu niende kwa vile maziko hualikwi ila harusi ukisikia unakwenda so tujaribu kuwa na ugwana kidogo na huruma na wenzetu walio filiwa wako mbali na marehemu hujui mtu uchugu wao uko vipi naam kila mmoja tutaondoka hapa duniani hakuna atakaye baki illa Allah na kila mmoja wepi haja kamilia kama hatuna hili tuna lile ndo maana kila leo tunatakiwa tumbe maghfiraa kwa Allah kwa sababu hatujui lipi tunamkera Allah na Allah si wakufanyiwa mchezo.
to tuwe na roho ya huruma na wenzetu walio filiwa tukiweza tuende kuwaliwaza japo kidogo na kuchukua kijuzuu kusoma au hata quran au kama hatu jui kusoma quran basi tuvute uradi au kama hata uradi hatujui basi tukaa kimya siyo kwenda kwenye mazikoni na kuleta story za mipira ya basketball na football na kuuza udi na umbeya wa kutafuta ya watu tuyaache haya tuse waaatarabu kama dini yetu ilivyo tujitahidi kama hatuwezi
poleni sana wafiwa wote inshallah Allah akupeni moyo wa subra katika wakati huu kwenu mgumu ametutanguliya kipenzi chetu na sisi tuko njiani kilichobaki saasa cha muhimu cha kufanya ni kumuombea dua kwa sana na pamoja na kuombeana kwa umma wote wa kiislamu tuwe tumeongoka na kupata radhi za Allah hapa duniani na kesho akhera Allah ma amin, Allah ma amin Allah ma amin
umeuliza swali zuri mdau hapo juu lakini naomba ujaribu kuwauliza wenye elmu ya dini okay hapa hakuna hata mmoja wapo na comment yako nzuri hii itakaa tu bure bila kujibiwa na hutopata jibu la busara na pia jambo linginewe swali hili pia linaweza kutafsiriwa vibaya kwa wafiwa au watu wenginewe kwa nini umeuliza hivi japo kuwa una nia njema ya kutaka kujua lakini huwezi kujua wakati huu wa watu kuwa katika msibani wanafikiri nini katika akili zao tuwe kidogo watu wa kuoneana huruma tuwafikiriye wafiwa je tungekuwa katika nafasi yao tungeulizwa hivi tungejisikiaje
nakuomba samahani sana ndugu yangu kama nimeandika vibaya niwiye radhi na wafiwa wote pia okay
poleni sana ndugu zangu kwa kufiwa Allah akupeni moyo wa kustamili na mghufiriye mpendwa wetu aliyetutangulia pamoja na sisi atuongoze kujua dini yetu na kuwa katika mstari wa haki amin
mt.vernon
Ndio inafaa kukusanyika na kufanya kisomo ili mradi maadili ya dini yazingatiwe.
Acheni uzushi uislamu ni quran na sunna sasa mtume s.a.w alisoma kisomo hebu leteni ushahidi kama aliwahi kusoma.huu zi uzushi na uzushi woowte ni motoni.
naam illa mradi maadili ya dini yafuatwa lakini taabia habadiliki ya mtu mtu akiwa si wa dini na hajui katika kikao kama hivi vya dini basi atakuleta tu story zake za vijiweni
hakuna aliyekamilika nakubaliana na mdau hapo juu aliyeandika maada yake nzuri sana natamani nimjuye ni nani nimpe heko sijui yupo sehemu gani because hiyo mt vernon sijui ya wapi ya new york au ya fairfax county,virginia near alexandria. jamani basi tuambiyeni wapi mpo kwa sababu kuna watu wenye elmu zao za dini lakini hawataki kujionyesha tuwe tuna share jamani kukatazana na kuelimishana.
shukran sana mdau uliyetoka comment yako ya mtverno sijui ya wapi lakini
mdau anonymous wa December 27, 2013 at 11:20 AM tafadhal bwana mdogo/au bibiye njo njoo taratibu katika comment zako hapa na kuwa mstaarabu kama jama ahapo juu aliyetoa comment zake watu wamefiwa bwana usijifanye ustadh au sheikh mkuu kama kweli weka jina lako unajificha nini watu wakujuwe na wakupe vidoge vyako okay
kama unataka kila kitu kiwe sunna na na quran basi mbona kuna mengi tu hayapo kwenye sunna na quran na waislamu wanayafanya tena yenye kheir
achaa zako za kinafik wewe jidhihirishe tukukalishe kitako tukufunze dini na tukuambiye wapi kusoma hitma inasihii
wewe labda ndo wale wale wa ahlul bidaa kila kitu bidaaa watu wanafanya jambo jema la kheir ya wazazi wao wewe unakuja hapa na nuksi na uhafiki wako kujifanya unajua sana dini na sheikh mkuu
basi kama kweli unataka mifano jidhihirishe tukufunze dini
na luke comment za watu kama hawa bwana usituwekee wanachafua hali ya hewa katika hitma ya watu bora hawajakwenda
kama hamtaki kufanya/kusoma hitma za wazee wenu ndugu na jamaa msisome wanaotaka kusoma waachiyeni jamani wachiyenii wawasome watu wao wazee wao etc msitulete zenu za kinafik hapa mnajidai masheikh kumbe mashekhena wanafik wakubwa hata quran na sunna hamuzifuati vizuri kwa maovu mmeshika number one mnadhani hatukufahamuni tunakufahamuni sana
bora hasa hujaja katika hitma tumeshukuru sana ungekuja ungetuharibia hali ya hewa iblis mkubwa weyeee
tazameni milivyo na matusi nyie watu wa mahitima Dini hamuijui basi hata kuongea pia duh!poleni sana
Post a Comment