ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 22, 2013

PICHA YA LEO

Robie Abdul wa Maryland, USA na mama mwenye nyumba wake

7 comments:

Anonymous said...

wamependeza jamani hongereni wana wapenzi na jambo mmoja luke unafanya kazi yako nzuri sana katika blog hii lakini unapotosha lugha ya kiswahili nime notice mara nyingi unayatunga mwenyewe maneno ya kiswahili kwa utundu utundu wako lakini unapotosha mkuu jamani pole pole

especially hili neno mama mwenye nyumba wake kwa nini usisema mr and mrs au bwana na bibi au kama hawajaoana taja majina tu tutajua si eti mama mwenye nyumba wake kwani hana jina huyu mama mwenye nyumba au cheo zaidi ya hicho kiwe kizuri ni hayo tu nimeona leo nikuambia other wise keep up the good work man you do in this blog and merry christmas and happy new year

Anonymous said...

na wewe unapotosha kiswahili, angalia maneno ulivyo yachanganya na lugha ya kigeni...jikosoe kabla ujakosoa AKA mzee kifimbo cheza

Anonymous said...

Kwanza bwana abdul hongera. Shemeji katulia.wajameni, kitu gani alichoandika luka kisichoeleweka. Tusikompriketi vitu , swahili niileile inaeleweka pande sote

Anonymous said...

Jamani kaka Abdul mmpendeza lini unakuja bongo na shemeji

Anonymous said...

mijitu mingine bwana imeshazoea kiswahili chao cha mitaani ndo maana mwenzenu akikuandikiyeni kwamba mnakiaharibu kiswahili basi nnamsema vibaya na kutete kiswahili chenu cha mitaani msituharibiye kiswahili chenu haribu lugha zenu bwana za vijijini sawa.

kamtakia kheir luke na si nyinyi so msiingiliye na kakuandikiyeni kizungu siyo eti kwamba hajui kuandika kiswahili kwa ulibukeni wenu si ndo mnachokiabudu hicho mpaka kinakutoweni ustaarabu wenu na mila zenu so kibaya kipi kutumia maneno mawili matatu ya kizungu

msituharibiye kiswahili chenu sawa
mpeni heshma yake anajina lake yule dada na ni mkee wa mtu so mpeni heshima yake siyo eti leo MAMA MWENYE NYUMBA.KAMA NI HIYYO BASI NA HUYO ABDUL AITWE BABA MWENYE NYUMBA

Anonymous said...

MSITUHARIBIYE KISWAHILI CHENU NAKUBALIANA SANA KWA MDAU HAPO JUU BORA MTU ATUMIYE NA KUCHANGANYA KIZUNGU NA KISWAHILI KULIPO MANENO YA MITAANI YA VIJANA WA LEO KUYACHANGANYA NA KISWAHILI CHETU HATA MTU HUJUI KIMESEMWA NINI TUSIPOANGALIA TUTAKUWA TUNA SLANG SWAHILI NA KUKIPOTEZA KISWAHILI CHENU

Anonymous said...

Mwanangu Roble shavu (dodo) Shemeji katulia