ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 21, 2013

TASWIRA ZINGINE ZA SHEREHE YA UHURU WA TANZANIA BARA, DALLAS, TEXAS

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani katika picha ya pamoja na Watanzania waliojumuka kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara siku ya Jumamosi Dec 14, 2013 iliyofanyika mjini humo kuhudhuriwa na Watanzania kutoka Dallas, Texas na jirani.
 Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akiongea na Watanzania wa Dallas siku ya Jumumosi Dec 14, 2013.
 Mtanzania wa Dallas akipata picha ya pamoja na Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.
 Watanzania wa Dalls katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi.
Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akikata keki ya Uhuru

No comments: