Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula (kati) akiwa pamoja na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Balozi Mwanaidi Maajar wakiwa kwenye msiba wa mpendwa wetu Zainab Buzohera Ukonga Dar es Saaam kulia ni mama wa marehemu
No comments:
Post a Comment