ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 13, 2014

DIAMOND AMPA UJAUZITO WEMA SEPETU, WEMA AFICHUA SIRI YA UJAUZITO WAKE KATIKA INSTAGRAM

MSANII maarufu wa Bongo Movie, mrembo na mwenye pesa pengine kuwazidi wengi na ambaye hivi karibuni amezua mijadala mikubwa baada ya kurudiana na mpenzi wake wa zamani Diamond, ambaye pia ni maarufu katika muziki wa kizazi kipya nchini na mwenye kuongoza kwa mapato nchini, imegundulika kuwa ana ujauzito wa miezi kadhaa.

Wema ambaye alishindwa kuficha hisia zake na hatimae kuweka kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa instagram,” …mmmmmh jamani hichi kitumbo… hakifichiki now…” kuashiria kuwa mabadiliko ya mwili yameshaanza kuonekana (Picha chini inaonesha ujumbe huo kamili).

Mtandao wa huu ulianza kuhisi taarifa hizo na kuamua kuzifuatilia kwa karibu ili kujua nini haswa kinaendelea au ni hisia tu. Ndipo mwandishi alipochukua jukumu la kumtafuta mlimbwende huyo Wema Sepetu na kugonga mwamba.


Hata hivyo jitihada hizo hazikuishia hapo ndipo kilipopatikana chanzo cha karibu na Wema na kudai kuwa “ amekuwa akilalamika mabadiliko hayo na hata kusikika akisema anaihisi ameconsive…” kilisema chanzo hicho bila kutaka kutambulika hadharani.
“Ni kweli itakuwa hivyo na ndio maana Diamond aliamua kumtangaza rasmi siku hile ya chrismas” aliongeza.

Diamond ambaye alimtupilia mbali mpenzi wake Penny na kurudiana na Wema mapenzi yao hayakufichika kwani wakiwa China walipiga picha za mahaba na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii na kuzua hisia tofauti.

Hivi karibuni wamekuwa karibu sana kimapenzi na kuamua kuonesha siri zao za ndani bila kuficha, “mwenye macho haambiwi ona… juzi tu wameweka video zao wakiwa kitandani kila mtu ameziona, lakni pia Diamond kumnunulia nyumba baada ya kusikia mkataba wake umeisha na kwamba hautoongezwa, na mambo mengine kibao” kiliongeza chanzo hicho

“lakini tusubiri miezi tisa tu sio mingi na mimba huwahaifichiki bana tutaona

15 comments:

Anonymous said...

furaha iliyoje diamond na wema ndo mpango mzima hicho kibaby kitakuwa cha ukweli uxpime yan diamond wema ndo mke wako hao wengine walikuwa viruka njia mungu awajalie maixha marefu mleeni mtt wenu vzr

Anonymous said...

kiruka njia hiki hacho hakiachi vituko kila leo hata mtoto hajazaliwa anatangazwa wakikuroga usizae ikaharibika utasemaje na bora ameachana na penny,penny mummy you are classic baby asikuharibiye diamond damu yako bure na mtoto akatoka kama yeye wote hawa wana midomo ya sifasifa so bora wazae pamoja

na mlikuwa hajui kwamba bora kaacha na penny,penny ni ndugu yake na siyeye eti kaachwa penny ni penny ndo aliyemuacha diamond ili aendeelee kufurahi na kiruka njia mwenzake

you are a classic lady penny we love you baby girl

Anonymous said...

Wema na dimond mko juu kwakila kitu. Mtoto atazaliwa salama tu, mungu mwema. Watu tunawapenda mnnnnnnnooo. Sasa msirudi nyuma tena ni mbele kwa mbele. Ila kila mtu akae kwake hivyo hivyo kwa sasa ndio maisha yatakuwa nora na ya maela kwani kila mtu atatafuta pesa/ maisha ila wewe D imond now no more sheeet zako za kuchezea madem. Wema anakupa kila kitu so grow up kijana.

Habay all info said...

kama kweli hongera zao
we nevr mind out
just we sy congl....

Anonymous said...

DOMO LA DIAMOND HALAFU WEWE WEMA UMEKWENDA KUZAA NA HUYO MWANAUME, KITATOKEA KICHEKESHO HAPO!!!!

Anonymous said...

Ila 2angalie Mbali Cc Pia Binadamu W2 Hugombana Na Kurudiana..Pengine Wamekaa Chni Na Kufikiria Waswahil Hucema Kama Ipo Ipo 2 Wataongea Sana Lkn Bro D Asaiv Tulia Angalia Maisha Na Wema Hawa Wengine Potezea Ushakua Haina Haja Ya Mother Kukuambia Ukue Kaka Au Vip?

Nemganga said...

Nawatakiwa kila la kheri Mwenyezi Mungu awajalie waowane na wapte mtoto. Siku ya harusi yao nitawaletea zawadi ya khanga na kikoi kwaajili ya Wema na Diamond. Wanapendezana sana, na kwa kweli mapenzi huwezi kuyaingilia kwani ndoa hutoka kwa Mwenyenzi Mungu.

Unknown said...

me i love the couple jaman...na muaache walaleeee

Unknown said...

kwan ninini???walipendana sheets happen,wamerudiana its their luck,me i love the couple jaman na muache walalee....!

Anonymous said...

If ts true,all da best....

Anonymous said...

MMMH! HAKUNA KITU HAPO!



Anonymous said...

MMMH! HAKUNA KITU HAPO!

Unknown said...

They r true soulmatez n they r made 4 each other. Stop hatin ppl

facebook said...

hongera zenu

Anonymous said...

Hongereni D na WEMA wanaosema nawaseme wivu unawasumbua