Akijibu Swali la Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi lililohoji "Chadema Inatarajia Kufanya lini Uchaguzi wake wa Kitaifa, Kwa Sababu NCCR-Mageuzi wao Wametangaza tayari Uchaguzi wao"...
Akijibu Swali hilo Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema Mhe.John Mnyika amesema "Kwanza Inapaswa Utambue Kuwa, Chadema ni Taasisi Makini Isiyoendeshwa Kwa Kufuata Mkumbo wa Matukio, tunapima Jambo Kwanza Kwa undani, Kisha linatolewa Maamuzi yanayostahili Kupitia Vikao halali vya Chama, Kwa Ufupi hatukurupuki...
"Kuhusu Uchaguzi hilo liko Wazi, Chadema Itafanya Uchaguzi wa Kitaifa mara Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, hofu yenu ni nini hasa!?...mwisho labda nimalizie Kwa Kusema tu Kwamba, jitahidini Kuandika Unachokuwa Umeelezwa badala ya Kupotosha, na Kama unaona Majibu uliyopewa hayakidhi Matakwa yako, ni bora ukaacha Kuiandika hiyo habari"...alisema Mhe.Mnyika
No comments:
Post a Comment