Vijimambo Team,
Nawatakia kila la heri on this Big Day for Vijimambo's Birth memorable Day.
Nawasifu sana Vijimambo Team kazi nzuri sana. Hata mimi mama nawaunga mkono. Ningekuwa hapo karibu ningekuja na vitafunio.
Nafurahia sana kazi yenu hii mnatupasha habari za dunia kwa kweli ni kazi nzuri sana sana.
I visit vijimambo everyday napata habari za matukio, vijimambo, na mambo ya vijijini na miji mikubwa.
I wish you the Best Day today and for many more to come.
Best wishes from me.
Sincerely,
VRose wa Pittsburgh, Pennyslvania.
--------------------------------------------------------------------
Asante sana Mama yetu VRose Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akuzidishie salamu zako zimezidi kututia moyo na ari ya kuzidi kuitumikia jamii inayotuzunguka na iliyombali na sisi Asante tunakushukuru wewe na Wadau wengine kote Duniani zikiwemo blog mbalimbali tunazo shirikiana nazo kwa ajili ya kuendeleza libeneke hili lisilolala pia tunashukuru sana kwa mawazo yenu endelevu tunajua safari bado ni ndefu na miaka 4 si midogo yote ni kumshukuru Mungu mwenye uwezo wa kila jambo.
1 comment:
kila la kheir na baraka tele na watakia team nzima ya vijimambo katika hii big day ya birthday memorable na jamani eti mme timiza miaka mingapi.
kila siku lazima nifunguwe vijimambo nisome habari kwa kweli mnafanya kazi nzuri sana tena sana ya kutupasha habari nilikuwa mpenzi mkubwa wa michuzi sasa nimehamia kwenu vijimambo kwa ubunifu wenu wa habari na umahiri umenifanya nije kwenu.
hongereni sana kabisa kazi nzuri mnaifanya ya kutupasha habari bila hata malipo mungu atakulipeni daima amen
jambo la pili please nime notice kwamba muwe mnachuja habari sana kwa sababu habari zinginewe kwa kweli sometimes kama mnavyojua watoto wanasoma blog hii pia so kuweni wangalifu na kuwa wenginewe pia nusu nusu kiakili so wana post comment kama hazimo ni hicho tu ahsanteni sana na mungu akubarikini sana na na sema
HAPPY BIRTHDAY TO YOU VIJIMAMBO NA ALL THE TEAM.
MDAU YULE YULE NY
Post a Comment