ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 26, 2014

HATA MAREKANI PIA KUNA MASIKINI WANAOLALA KWENYE TRAIN USIKU UKIFIKA

Kabla sijafika Marekani siku weza kufikiria kuwa nchi hii inamasikini na omba omba kumbe wapi. Masikini wapo duniani kote bila kujari nchi tajiri au masikini. Jamaa amepiga mbonyi yake hapa bila wasiwasi hii ni ndani ya train katika jiji la New York.

4 comments:

Anonymous said...

Bwana Blogger, Tofauti ni kwamba kwa america most are homeless people crack addicts or have been on drugs wakati kwa nyumbani ni watu wanao struggle kutafuta opportunities especially vijana ambao wanaamua kukimbilia mijini kutafuta kwa sababu vijijini hakukaliki anymore.

Anonymous said...

ata kabla sijafka sikuweza waza kama nchi kama hii kutakua na homeles...mama angu akanpeleka maeneno ambao wanakuaga wengi nlishangaa sana ila hali ile ilinichallenge na ikanifanya nisome kwa bidii kwa kuhofia kua homeless wa marekan

Anonymous said...

lol kwa anavoonekana ndugu yetu atakua kazamia uyu

Anonymous said...

Namuunga mkono mdau #.1 above.Kuwa homeless kwa extent ya jamaa huyo hapo ktk picha ni kwa kujitakia kwani States nyingi zina run Homeless shelters ambazo wanapatiwa malazi na huduma zingine muhimu.Huyu jamaa atakuwa ni crack head ambao hata ktk shelters wameshindwa kucorp na sheria zake.
Kwa upande wa nyumbani ukichukulia definition ya homeless km ni mtu alieshindwa kumudu maisha yake ktk kujipatia mahitaji muhimu basi hapo home wako wengi,wahiari na wasiokuwa wa hiyari.