Mvua kubwa zinazonyesha katika milima ya Kilosa na Gairo mkoani Morogoro
zimesababisha kujaa kwa udongo na mawe na kufunga barabara kuu ya
Morogoro Dodoma na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kwa zaidi ya
masaa saba katika eneo la mtumbatu katikati ya wilaya ya Kilosa na
Gairo.
No comments:
Post a Comment