Ilikuwa weekend iliyojaa furaha na upendo kati ya wale wapendanao
wakiendelea kutabasamu na kusamabaza upendo…Nchini Uingereza, mjini
London, Ommy Dimpoz mzee wa Poz kwa Poz alipiga show kali na nzuri,
Jumamosi ya Februari 15, ndani ya ukumbi wa The Ville ambapo wapenzi wa
burudani walijumuika pamoja katika kufurahia msimu huu wa sikukuu ya
wapendanao (Valentine’s Day)
Valentine Love Zone, Live in London ilikuwa hosted na Salama Jabir, na mambo hivi ndiyo yalivyokuwa…
No comments:
Post a Comment