Waombolezaji
wakisukuma jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam (UDSM), marehemu Balozi Fulgence Kazaura ulipowasili leo
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es
Salaam jioni hii , kutoka India. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akiwafariji ndugu wa marehemu
Ndugu
jamaa na wafanyakazi na aliye kushoto ni Dereva wa gari la kubeba mwili
huo wakifunua jeneza kwa utambuzi wa mwili wa marehemu Kazaura mara
ulipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA), Dar es Salaam jioni hii , kutoka India.
Wakiutoa nje tayari kwa kuondoka uwanjani hapo kupelekwa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Kairuki, Mikocheni
Mwili
ukipakiwa kwenye gari tayari kupelekwa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya
Kairuki, Mikocheni,kulia ni dereva wa gari litakalo beba mwili
No comments:
Post a Comment