Naibu
Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mh:Waziri
Dkt.Harrison Mwakyembe(Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma za Ulipaji Kodi
na Elimu Ndugu.Richard Kayombo wakielekea kutembelea Ofisi za TRA wilaya
ya Kyela mapema hii leo.
Mkuu wa Wilaya Mh:Magreth Kalenga akitoa maelezo kwa Mh:Mwigulu Nchemba kuhusu mpangilio wa vyumba vya Ofisi ya TRA WIlaya ya Kyela.
Naibu
Waziri wa Fedha akiondoka kwenye Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania
Wilaya ya Kyela hii leo.Ofisi hizi zimeanzishwa ilikusogeza huduma zote
za TRA zipatikane Wilaya ya Kyela na kuacha kutegema kwenda kupata
huduma zingine Mkoani Mbeya.
(Picha na Habari kwa hisani ya Habari Kwanza Blog)
1 comment:
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba sasa Rais amempa madaraka iatakiwa awe na muonekano kama waziri mambo ya kuvaa skafu muda wote kama chipukizi iwe basi,sasa niMr Minister lazima awe na out look kama waziri...kama yupo mikoa ya baridi hiyo hauna hoja lakini Dar es salaam na joto lota ndani ya skafu....aaa! tafadhali Mwigulu Mchemba
Post a Comment