Tulia Spa, Beauty And Hotel Arusha ni sehemu usiyotakiwa kukosa kufika ukiwa ndani ya jiji la wajanja Arusha, Kuna huduma ya hotel na spa kwa wageni na wenyeji. Tulia spa wanatoa huduma mzuri itakayokufanya ujisikie kurudi tena siku za usoni. Maadhari ya hotel ni mazurivitanda na vyumba vyenye nafasi vitakavyo kufana ujisikia nyumbani ukiwa ndani hotel hii.

Chumba ndani ya hotel

Tulia Garden kwa nje ukitaka kupata upepo unaovuma toka milima ya Meru Arusha...
Dining room kwa ajili ya chakula ukiwa Tulia hotel.
Vitanda imara na vya mbao vitakavyokufanya ujisikia very comfortably.
Vitanda imara na vya mbao vitakavyokufanya ujisikia very comfortably.
Spa ndani ya Tulia hotel
Spa kwa watu wawili kila mtu na kitanda chake, mambo haya yote ni Tulia Spa, Beauty And Hotel inayopatikana Arusha Tanzania.
Tulia Hotel and Spa Beauty
Sakina,white rose road., Arusha, Tanzania
+255 272 545 761 ,
+255755700001,
+255754700001
or +255785586411
Always open












11 comments:
mwanamke huyu ameolewa au ana mchumba jamani mzuri sana mimi niko tayari kutafuta kama yuko single.
NY
Pamoja na kuwa sio wote,lakini kwenye kila maendeleao ya mwanamke kuna mwanaume behind it.
Kwa kweli I agree 100% uzuri wa huyo bibie unaendana na mandhari nzima ya hiyo Hotel. Kweli kitu kizuri ni kizuri tu.
mimi ni mwanamke na maendeleo yangu yametokana na juhudi zangu mwenyewe. mwanaume wangu yeye sana sana alitaka kuniharibia maendeleo maana alipoharibu credit yake na kushindwa kupata mkopo hata wa gari akataka kuiparamia credit yangu akijua wazi kabisa nayo ataiharibu. WANAUME WA KI-TZ WENGI NI WAHARIBIFU TU! akishaona una vijisenti vyako bank atakuja na idea ya biashara uchwara
wewe mdau wa kwanza tafuta wa kwako na wewe umtengeneze acha kudandia train kwa mbele....kupenda dezo tu
Nakubaliana na mwenzangu hapo juu. Wanaume wengi zao ni kupenda kurudisha nyuma wake/wapenzi wao. Hata kama una mpa bia za wikiendi na kumsapoti akikwama atataka tu kukurudisha nyuma kwa sababu yeye ndio anatakiwa awe na hela kuliko wewe kwasababu 'mwanaume ndio kichwa cha nyumba' my foot.
BOSI USIWE NA JAZBA NA MUNKARI HIYO NANI KAKWAMBIA NATAKA KUDANDIA TARAIN KWA MBELE NA KUPENDA DEZO NJO BASI NIKUPE DEZO NA WEWE MY MAN NIMEMSIFU NA KUTAKA KUJUA KAMA ANA MWENYEWE NA NINGEJUA NISINGEULIZA THATS ALL MTU UKIONA KIZURI LAZIMA UKISIMU KWA MUUMBA ALIVYO MUUMBA SI ETI NATAKA DEZO AU KUNDANDIA TRAIN KWA MBELE ACHA KEJELI NA UJEURI WAKO WEWE BOSS USIONE KAMA NDO NIMEMSIFU HALFU UKAONA NATAKA KUMTOKEA NO WAY MWANAMKE MZURI PIA AENDANE NA TABIA SI UZURI TUU
NINA WANGU MALKIA ILE MBAYA NIKUPE MNDANIYE NJOO TU SAN FRANCISCO NITAKUACHIA KAMA UNAUBAVU
UNAJIFANYA KUTANUA KIFUA NA KUKIPIGA TIMU HUKO BONGO NIKITAKA KUKUFANYIA USHENZI NAWEZA TENA NIKAMCHUKUA NA WEWE UPO HAPO HAPO NIKAKULIZA MACHOZI SEMA MIMI NI MSTAARABU SANA LAKINI USINIPANULIYE MISULI YAKO NA KUWA MBOGO MIMI HUWEZANI NA MIMI KABISA WAULIZE WATU NINAVYOTUA BONGO NAKUWA NANI MIMI NYAU MKUBWAA WEE
ANGEKUWA WAKO KWELI KWA NINI UNAMUANIKA HAPA MTANDAONI KWA BIASHARA NDOGO SANA KAMA HII YA SALOOON NYAU FISI MAJI WEEEE
mdau hapo juu ungekua mstarabu usingeongea haya yote we bwege tu.binadam ataishhi San Francisco bwanaaa,,, tuondolee hapa,,, macho makubwa kutaka wake wa wenzio tu
MPWA MBONA UNALALA USINGIZI JUU YA HAYA/HUYU BWEGE ANAETUKANA NDANI YA BLOG HII. LUKE JOE TAFADHALI CHUJA KILA AKATI, PUMBA ZA WAPUMBAVU TIA KAPUNI
Yani ninyi nyote mliotoa maoni hakuna hata mmoja mwenye constructive ideas wala critical thinking. Nikiwalinganisha na huyu dada mmiliki wa biashara ni sawa na kulinganisha mlima Kilimanjaro na kichuguu. Nendeni mkasome.
Bei ya vyumba please!
Post a Comment