Jana ndani ya ,viwanja vya Coco beach,jijin
Dar..ilikuwa ndio siku ya kuhitimisha
mfululizo wa,shows za GOOD TIME YA UKWELI
zilizoandaliwa na kampuni ya,Coca cola .
.Diamond na team ya vijana makini wa WCB
walikuwepo na wakafanya yeo kama hivi.......!!!!!
Tulipowasili
Dj Romy Jons
3 comments:
Mganga wake ni noma Duh!
Mganga wake ni Hard Work. Jamaa anajituma, anajua anachotaka. Nyie mkisubiria waganga/uchawi mtasubiri sana. mfanye kazi kwa bidii.
Kaka nakuhunga mkono.Watasubili mgaga mpaka watamaliza familia yote. bila mafanikio. Jitume mwenyewe Ndio ugaga
Post a Comment