ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 6, 2014

Mahojiano ya IskaJoJo na Radio ya Umoja wa Mataifa ya New York

Siku ya wanawake duniani ikiwa imekaribia, mwanadada mjasiriamali Isca Kauga- Joshua wa IskaJoJo Studio amefanya mahojiano maalumu na Radio ya Umoja wa Mataifa ya New York. Bofya hapa ili uweze kusikiliza mahojiano yao

4 comments:

Anonymous said...

I love this woman jamani, hongera sana dada, wewe ni mfano mkubwa wakuigwa , tunataka kuona wanawake wa kitanzania wakijitahidi na sio kukaa nyumbani na kutegemea wanaume,

Anonymous said...

Mdau wa kwanza,kila mtu na maisha yake. Kumsifia sawa kabisa,lakini kashfa kwa wengine,hapana!!!! Mambo ya ndani za nyumba siri zake nzito. Ukimpata mwanaume anayependa kutake care mwanamke wake ruksa!! Na wanawake wajasiriamali wanao take care waume zao,ruksa pia!!! Maisha haya mafupi,kila fursa kwa kwenda mbele. I do admire wanawake wote kwani they are very creative. Hata aliyewekwa ndani,shughuli yake ya kumfanya jibaba kumtunza si kazi ndogo. To all my ladies!! Keep up whatever ur doing,make sure you are happy!!! That's very important for ur overall wellbeing.

Anicetus said...


Another example of Tanzanian Diaspora entrepreneur skills and knowledge transfer: She is an example to other Tanzania women and men that "risk" taking is an opportunity for success !!!. raised with Tanzania culture-respect-justice and beneficence- Isca's professional photography skills has earned her a reputation that no one duplicated it-at least for now.

Congratulations Isca

Anonymous said...

Asante sana mdau wa pili. Yani kuna watu wanudhi kweli.

Kwanza kwa siye tunao amanini Biblia mme ndiyo kichwa, kwahiyo lazima afanye kazi ya kulinda na kulisha familia. Na mke (mama) ni disciplinary. So sioni ajabu mama akiamua kukaa nyumbani kama mme anauwezo wa kuleta hela za kutosha. Na wanakuwa na future plan in-case of anything. But even though, I have respect for both women. Stay home mom ni career ambayo office moms wengi hawaiwezi, so tumepende kuheshimiana and lift each other up.