Bongo stress free na schedule hizi za box mtoni bongo ndiyo sehemu ya kula bata mungu ibariki Tanzania raha kama hizi wabunge wacha wadai nyongeza ya posho. Chezea bongo wewe masikini atabaki kuwa masikini tu na kuishia kutumwa Uchina. Ni mtazamo wangu tu usininyooshee kidole mtoto wa mwanamke mwenzio.
1 comment:
tunapiga box lakini tunaishi maisha ya ukweli
Post a Comment