ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 5, 2014

PITIA VIDEO HII NA UTANGUNDUA KUWA BONGO NI TAMBALALE NI TANGAZO HILI LAKINI LINAVUTIA KWA WALE WAPENDA BATA KAMA MIMI

Bongo stress free na schedule hizi za box mtoni bongo ndiyo sehemu ya kula bata mungu ibariki Tanzania raha kama hizi wabunge wacha wadai nyongeza ya posho. Chezea bongo wewe masikini atabaki kuwa masikini tu na kuishia kutumwa Uchina. Ni mtazamo wangu tu usininyooshee kidole mtoto wa mwanamke mwenzio.

1 comment:

Anonymous said...

tunapiga box lakini tunaishi maisha ya ukweli