Miongoni mwa wadau waliokuwa kwenye mkutano huyo ni madaktari mbalimbali, SANOFA ambao huhusika na vipimo vya ugonjwa huo, Damu Salama ambao huhusika na upimaji wa damu na SD Tanzania.
Ndeonasio
Towo kutoka Damu Salama akielezea umuhimu wa wananchi kupima damu
kubaini maradhi mbalimbali bila kusahau virusi vya homa ya ini.
Mwakilishi
kutoka SD Tanzania ambao ni wadau wa ugonjwa huo, Phillip Sawe,
akielezea umuhimu wa kupima mapema ugonjwa huo kabla mwili
haujashambuliwa.
No comments:
Post a Comment