ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 3, 2014

WADAU WA AFYA WAKUTANA MOSHI KUJADILI SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas gama akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora akizungungumza kwa niaba ya wadau wa Maendeleo.
Mkurugenzi huduma za Afya toka wizara ya Afya,Dk Neema Rusibamayile akizungumza kwa niaba ya mganga mkuu wa serikali katika mkutano huo unaofanyika Uhuru Hotel.
Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro Dk Faisal Issa akizungumza wakati  wa mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rombo Anthony Tesha akitoa neno la shukurani katika mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Washiriki katika mkutano huo ambao ni wakuu wa wilaya za Rombo,Hai,Moshi na Siha,wakurugenzi wa halmashauri na watendaji wa Afya katika halmashauri.
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja .
Mazungumzo ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama,mwakilishi wa WHO,Dk Rufaro Chatora pamoja na mkurugenzi  huduma za Afya toka wizara ya Afya ,Dk Neema Rusibamayile.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Moshi

2 comments:

Anonymous said...

Wadau wa afya itabidi mumshauri mkuu wa mkoa aache kula junk food na afanye mazoezo. Yaani amenenepa hadi amekuwa wa duara.

Anonymous said...

Wewe mdau wa hapo juu unaonekanaje? Ebu weka pic yako, nawe ufanyiwe morphological evaluation. Maybe, you need more help than mkuu wa mkoa! Medically speaking, a person's size is not a determining factor of fitness or health. Humankind come in different stature and physique. What shape are you mdau? Triangle or pentagon? Common
sense should prevail when making comments pertaining to human health!