Mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas gama akizungumza wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora akizungungumza kwa niaba ya wadau wa Maendeleo.
Mkurugenzi
huduma za Afya toka wizara ya Afya,Dk Neema Rusibamayile akizungumza
kwa niaba ya mganga mkuu wa serikali katika mkutano huo unaofanyika
Uhuru Hotel.
Katibu
tawala mkoa wa Kilimanjaro Dk Faisal Issa akizungumza wakati wa
mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi.
Mwenyekiti
wa halmashauri ya wilaya ya Rombo Anthony Tesha akitoa neno la
shukurani katika mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya
mlango wa kizazi.
Washiriki
katika mkutano huo ambao ni wakuu wa wilaya za Rombo,Hai,Moshi na
Siha,wakurugenzi wa halmashauri na watendaji wa Afya katika halmashauri.
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja .
Mazungumzo
ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama,mwakilishi wa WHO,Dk
Rufaro Chatora pamoja na mkurugenzi huduma za Afya toka wizara ya Afya
,Dk Neema Rusibamayile.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Moshi
2 comments:
Wadau wa afya itabidi mumshauri mkuu wa mkoa aache kula junk food na afanye mazoezo. Yaani amenenepa hadi amekuwa wa duara.
Wewe mdau wa hapo juu unaonekanaje? Ebu weka pic yako, nawe ufanyiwe morphological evaluation. Maybe, you need more help than mkuu wa mkoa! Medically speaking, a person's size is not a determining factor of fitness or health. Humankind come in different stature and physique. What shape are you mdau? Triangle or pentagon? Common
sense should prevail when making comments pertaining to human health!
Post a Comment