Wachezaji wa Mbeya City (kulia) na Ashanti wakiwania mpira huku mvua kali ikiendelea kunyesha kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Mbande nje kidogo ya Jiji la Dar.

Steven Mazanda (8) na Deogratius Julius (mwenye mpira) wachezaji wa Mbeya City wakiwania mpira na mchezani wa Ashanti.…

Wachezaji wa Mbeya City (kulia) na Ashanti wakiwania mpira huku mvua kali ikiendelea kunyesha kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Mbande nje kidogo ya Jiji la Dar.

Steven Mazanda (8) na Deogratius Julius (mwenye mpira) wachezaji wa Mbeya City wakiwania mpira na mchezani wa Ashanti.

Mashabiki wa Mbeya City wakiendelea kuangalia mechi ya Mbeya City dhidi ya Ashanti katika Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar.

Mashabiki wa timu ya Ashanti United wakiwa uwanjani.

Mashabiki wakiendelea kuangalia mechi.

Mchezaji wa Mbeya City, Deus Kaseke(kulia) akiwania mpira na mchezaji wa Ashanti.

Wachezaji wa Ashanti United wakiomba dua kabla ya mechi.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
No comments:
Post a Comment