Habari ndiyo hii Dj Luke kutoka DC akiwa ndani ya New York pamoja na Ny Ebra watakula bata la ndani kwa ndani na marafiki wengine leo hii. Ni katika kushow love kwa Vijimambo New York Ny Ebra Birthday. Ukiweza sogea kwani mpango mzima leo ni kucheza bila kukunja goti shaaaaah.
No comments:
Post a Comment