ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 4, 2014

PICHA ZA SHEREHE YA YA KUSIMIKA KIONGOZI MPYA WA THC - HOUSTON, TEXAS - MACHI 29, 2014


Bw. Novatus Simba akikabidhi madaraka kwa Bi. Nuru Mazora
Watoto wakikaribisha ujumbe wa Mhe. Balozi na Eng. Mulamula
Watoto wakiimba mwimbo wa taifa wa Tanzania na wa Marekani
Bw. Alfred Nkunga na Rais mpya wa THC, Bi. Nuru Mazora

Balozi Mulamula akimkabidhi Bi. Mazora kanga inayosema
 "WATANZANIA NI WAMOJA TUSIGAWANYWE KWA MISINGI YA TOFAUTI ZETU ZA DINI, ITIKADI, RANGI NA RASILIMALI"

2 comments:

Anonymous said...

mbona watu wachache? au wengine ndo wale wachelewaji!

Anonymous said...

kwa mara ya kwanza nnimemuona dada Nuru kapendezaa…big up sita na hongera sana