Dullah Sykes
1. Martin Kadinda
Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi kuripotiwa popote mrembo anayetoka nae ata kwa kupakaziwa.
Huyu ni mtangazaji wa mkasi TV show, mbali na muonekano wake wa kuvutia ila hadi Leo haijawahi kuripotiwa mtu anayemmliki hata kwa kusingiziwa.
3.Ben Pol
mwanamuziki classic wa bongo fleva, achilia mbali muonekano wake wa kuvutia , naye mpaka Leo mpenzi wake hajulikani, na wala haijawahi kuripotiwa popote kama ana mpenzi au la.
4. DJ Fettty
Huyu ni mtangazaji wa clouds FM, ana sura na umbo la kuvutia , ila hadi Leo haijulikani mtu anayekula mzigo nani, japo kwa kusingiziwa
5.Millard Ayyo
Mtangazaji machachari kutoka clouds FM, pamoja na utanashati wake ila haijawahi kuripotiwa popote kama yupo kwenye mahusiano na haijulikani mpenzi wake ni nani
6. B 12
Huyu kama ilivyo kwa Millard, hajawahi kuhusishwa na scandal yeyote ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, haijulikani kama yupo au la.
7. Adam Mchonvu
huyu pia hajawahi kusikika au kuhusishwa na mahusiano ya aina yeyote.
8.Ally Rehmtulah
Mbunifu wa mavazi, naye huyu hajawahi kuhusishwa na wala haijuilikani kama ana mpenzi au la.


7 comments:
Yatuhusu nini? Muonekano wao ni vileee..same s.....x
Hao wote ni mashoga na wasagaji, wewe hujui hilo.
Wengi wa hawa vijana wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Kwahiyo unaweza kuwaona hawatoki wala kuambatana na opposite sex partners. Lakina wanaomalizana nao ni wenzi wao wa same sex. Muonekano wa Salama na hao makaka wapaka poda utakuonyesha dalili hizo.
Una mchezo sana wa kubania comment na hii bana pia,kwa orodha hiyo hapo unataka kusema nini kwani sifa kuenyesha wapenzi wao adharani,kama wanavyofanya wengine kila mtu na maisha yake nyie ina wahusu!!!!!
Geee that is a very sticky situation. What happens if someone is gay and not out yet? I sugget that we leave them alone these young people.
Hao wa kiume kama hawana basi ndio vile tena Twanga Pepeta a.k.a Mugongo Mugongo na hao Kina Salama na wengineo wa jinsia yake ni kwamba wanawachana wenzao wa jinsia kama yao... Habari ndio hiyo
Mmmh
Post a Comment