ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 4, 2014

WANAOSEMA HAWUTAKI MUUNGANO WASIKILIZE HOTUBA HII YA MWASISI ABEID KARUME YA MWAKA 1964


2 comments:

Anonymous said...

Asante wadau na waTanganyika. Yaani badala ya kwenda na wakati tunarudishana nyuma miaka 50 na sio kwenda mbele!!! hii ni aibu kwa taifa la Tanzania. Ina maana hatuwezi kubuni mbinu nyin gine zinazoendana na kizazi cha nyakati hizi na badala yake tumewanganania waasisi. Hii ni laaana kwa kweli. Hebu tuacheni kutokuelimika jamani waTaifa!!. asante

kidume said...

Karume alikuwa kiongozi mwanamume na alikuwa na ufahamu mpana sana na kwa maelezo yake iwapo Tanzania ingewezesha kuyatelekeza yake aliyoahidi tusingekuwa tunapigania serikali mbili au tatu. Viongozi wetu wa sawa wamepoteza heshima kwa kuwa wabinafsi na makupe, walafi na wazandiki. Wanajitahidi kuwafanya wanawanchi wanyonge, wasioheshimiwa na maskini.