ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 17, 2014

BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI SWEDEN DORAH MSECHU AMUAGA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu kabla ya mazungumzo yao,ofisini kiwa Waziri Mkuu mjini Dodoma, May 16, 2014. Balozi huyo mteule alikwenda kuaga. 
Waziri Mkuu Mkizengo Pinda akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, ofisini kwake mjini Dodoma May 16, 2014. Balozi huyo Mteule alikwenda kuaga.

No comments: