ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 17, 2014

EXCLUSIVE: HIZI NDIYO PICHA ZA MWILI WA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA, BAADA YA KUFARIKI GHAFLA LEO HII


Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukitolewa nje ya Hospitali  ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu.
...Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana
ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.

Hospitali  ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam alikofia Msanii Kuambiana.

...Msanii aliekuwa akicheza filamu moja na marehemu katika Hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.

...Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.

(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)

No comments: