Hasheem Thabeet akiwa na kichuna chake Fox Sports Radio, Bee Anderson wakiwa bump to bump. Bee na Hasheem wamepata mtoto wakiume waliempa jina la Prince Thabeet. Jitiririshe hapa chini na picha za mtoto akiwa mikononi mwa mama yake Bee Anderson kiroho safi.
No comments:
Post a Comment