Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari juu ya shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la Wawakilishi utakaoanza tarehe 14 Mei 2014 katika Ukumbi wa Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la Wawakilishi linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 14 Mei 2014 katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Muwandishi wa Habari wa gaazeti la Daly News Issa Yussuf akiuliza maswali katika mkutano na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad alipokutana na waandishi wa Habari kuzungumzia shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la Wawakilishi utakaoanza kuaza leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment