Advertisements

Thursday, May 29, 2014

Mazishi ya Hussein Hassan Mbailwa

Taarifa ya msiba. Watanzania tunaoishi Minnesota. Tunapenda kuwatangazia ndugu, jamaa na marafiki kuwa tumepokea kwa masikitiko kifo cha ndugu yetu Hussein Hassan Mbailwa(pichani) kilichotokea ghafla siku ya 5/27/2014 na anategemea kuzikwa kesho siku ya tarehe 5/29/2014 baada ya swalat adhuhuri katika makaburi ya waislam Burnsville.
Wabillah tawfiq. 
Time: 1pmLocation: Garden of Eden Islamic Cemetery
200 West Highway 13, Burnsville, Minnesota
Phone: 651.621.4335

2 comments:

Khalifa Saidi Matagi said...

Innalillah wainailaih rajiuun

Hatibu Lugga said...

my uncle RIP