ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 17, 2014

MSIBA TANZANIA NA MAREKANI

MZEE OMARY ABDALLAH IDOWA ENZI ZA UHAI WAKE.
Familia ya Idowa wanasikitika kutanga kifo cha baba yao mpenzi Mzee Omary Abdallah Idowa kilichotokea Dar-es-salaam Tanzania May 15, 2014 katika Hospitali ya Muhimbili. Marehemu ni Baba Mzazi wa Ali Idowa wa hapa MD.
Kutakuwa na kisomo siku ya Jumamosi Mei 23, 2014 kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi jioni. Anuani mtaarifiwa baadaye.
Marehemu ameacha watoto 6.

Msiba upo 1010 Broadmore Circle, Silver Spring, MD 20904.
                             “Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un”.
Unaweza kuwasiliana na wanafamilia katika namba zifuatazo:
Ali Idowa – (301) 633 1282
Asha Nyang’anyi – (301) 793 2833
Joha Nyang’anyi – (240) 372 4183
Saleh Halifa (216) 650 0154

Halima Seif – (301) 825- 3492

No comments: