Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya
Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye
kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Dada wa Marehemu Private Brian Salva
Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama
Salva Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian
Salva Rweyemamuwakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar
es salaam leo Mei 17, 2014.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment