ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 15, 2014

UKAWA WAITEKA MOSHI

Umati wa watu wakiwa kwenye mkutano wa UKAWA uliofanyika siku ya Jumanne mjini Moshi katika ziara ya umoja huo ulioanza ziara ya kutembea mikoani kote.
Taswira za Ukawa walivyounguruma mjini Moshi jana.

No comments: