Advertisements

Saturday, June 7, 2014

JULIAS KISARAWE KUMVAA MOROBEST JUN 7

bondia julias kisarawe kesho anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan kiwale "morobest" .katika ukumbi wa friends corner manzese katika pambano la round nane. akizungumza na vyanzo habari hizi muandaaji sempai gola na ofisa wa ngumi za kulipwa nchini Pembe ndava walisema maandalizi yote yapo kamili, na mabondia wapo katika hali nzuri ukiondoa kasoro ndogo iliojitokeza kwa moro best alikuwa acheze na fadhili majia na sasa atacheza na julias Thomas kisarawe ambae ni mbadala mkali kwani kisarawe hajapoteza mchezo katika michezo yake kumi na mbili aliyocheza.mpambano unategemewa kuanza jioni mida ya saa kumi na kutakuwepo na mapambano mengi mno ya utangulizi

No comments: