Warembo alikuwa wamependeza kila idara mambo yalikuwa safi na ukodak kuchukua nafasi yake |
Warembo walivyo kuwa wamejiachia kiroho safi usiku huo. |
Mambo yalikuwa full kujiachia kwa style mbalimbali. |
Hiyo diyo bongo linavyokuja swala la party za usiku basi mambo tambalale |
Habari ndiyo hii |
Ni mambo ya warembo wakibongo hayo wanapendezaje |
Jitiririshe mwenyewe na kujionea kilichotokea usiku huo wa Instagram party ndani ya Bongo Mjini. Picha kwa hisani ya Dj Choka |
No comments:
Post a Comment