ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 3, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO NYUMBANI KWA NEW YORK

Khadija Nyang'anyi kutoka DC akipata ukodak na Ebra baada ya kumtembelea nyumbani kwake. Khadija Nyang'anyi alikuwa New York weekend na alipata nafasi ya kupitia nyumbani kwa Ebra na kumjulia khali.
Khadija akipozi kwenye ukodak wa vijimambo.
Ismahan akipata ukodak na Ebra, Isma nae alipata nafasi ya kumtembelea Ebra nyumbani kwake.
Khadija katika pozi pembeni akiwa na kinyaji kiroho safi nyumbani kwa Ny.

No comments: