Advertisements

Sunday, August 31, 2014

SOKA FESTIVAL MASSACHUSETTS CHINI YA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW ENGLAND YAFANA

Walimbwende kutoka New York wakijumuika pamoaja na Watanzania wenzao kwenye Soka Festival iliyofanyika Greenfield, Massachusetts nchini Marekani siku ya Jumapili Aug 31, 2014 na kuhudhuriwa na Watanzania na marafiki zao kutoka mikoa ya jirani na kwengineko.
 Watanzania wa Massachusetts wakijumuika pamoja kwenye Soka Festival inayofanyika kila mwaka wakati wa majira ya joto.
Mkuu wa Wilaya ya Springfield Alhaji Isaac Kibodya katika picha ya pamoja na Gloria.
Manka na Jessica (kushoto) katika picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


5 comments:

Anonymous said...

Diana hello

Anonymous said...

tahir bilal mr paul dj micharazo wa rusha roho siku hizi hapeni kupigwa picha nini? naona kampa uso mpiga picha

Anonymous said...

kumbe mkuu ibrah ny unavaa msalaaba dooo sijajua.

Anonymous said...

Thank you for the great photos.
However, they deserve credit. The second fashion show was by MSC Treasures, Tanzania clothing brand. Feel free to follow us on Instagram, Facebook, or Tumblr. Our email is msctreasures@yahoo.com.

Anonymous said...

nguo nzuri sana na nimezipenda kweli na ahsante kwa kutuwekea contact zenu.hongereni sana jamani.mambo kama haya ndo yanayotakiwa tuyafanye sisi watanzania kwa upendo na amani si kwa kutukanana kile leo katika mablog.
congratulation guys.God bless.ubunifu wenu mzuri sana nimeupenda sana.