Advertisements

Sunday, August 31, 2014

Mhe. Mjenga atembelewa Ofisini kwake na Dkt. Jabiri Bakari, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa e- Government

Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai, leo ametembelewa na Dkt. Jabiri Bakari, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa e-Government pamoja na ujumbe wake wakitokea New Delhi ambako walikuwa na mkutano na Wakala wenzao wa Serikali ya India.
Katika mazungumzo yao, wamezungumzia jinsi ya kupata ufadhili kwa ajili ya kujenga uwezo wa Wakala wa Serikali kwa njia ya Mtandao(e- Government)

No comments: