ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 7, 2014

STATEMENT- TEAM IDDI SANDALY

Team Iddi Sandaly, Inasikitishwa na kitendo cha Liberatus Mwangombe Kutumia Majanga na Misiba kwenye kampeni. 
Liberatatus Hajawahi kuwa kiongozi wa jamii na inasikitisha sana anapotumia muda mwingi kuwalaghai wenye majanga kwa manufaa yake .

Timu Iddi Sandaly, Ilisikitishwa sana Pale Dada yetu wa DMV alipotajwa jina kuwa yuko jela kwa mambo ya uhamiaji na Liberatus Mwangombe kwenye Kampeni zake kule Midldebroke na kupelekwa kwenye blogs , facebooks,youtube na other social networks.

Uongozi ni Kuweka Siri za Watu, Kuthamini na Kuhifadhiana.

Uchaguzi ni Mambo ya kupitia, ubinadamu na na kujitolea udumishwe milele.

Iddi Sandaly
DMV KWANZA

Kaka Iddi alikuwa ni Mtu wa Kwanza Kumuona Kaka Bahunde Alipoamishiwa hospitali ya Baltimore

  Iddi Sandaly Akiwa Kwenye Harambee Ya Kumchangia Kaka Erick Bahunde. Harambee iliandaliwa na Jumuiya ya DMV pamoja na Familia ya Erick.

No comments: