ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 7, 2014

SHILOLE, NUH MZIWANDA WAONYESHANA MAPENZI UPYA

Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake Shilole. Jitirirshe hapo chini wenye wivu watasubiri sana.

Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana wamesambaza picha kupitia account zao Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.

Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa.

No comments: