Ange ni mtoto wa pili na wa kike pekee kati ya watoto wanne wa rais Kagame wa Rwanda. Kaka mkubwa anaitwa Ivan, Ian na Brian. Rais Kagame alishawahi kumuuliza mtoto wake kwenye birthday yake ni zawadi gani angependa na Ange alimjibu baba yake kwa utani kuwa angependa Trey Songz wa Marekani kuimba kwenye birthday yake kama zawadi ya birthday. Na rais kwa mapenzi yake alifanya hivyo na alimletea Trey Songz mwanamusic wa R&B wa Marekani kwa kumlipa kitita cha pesa na kuimba kwenye birthday party ya mtoto wake pamoja marafiki zake huko Rwanda.
1 comment:
Ange pia kapitwa urefu na kaka yake. Hawa watu ni warefu balaa.
Post a Comment