ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 7, 2014

URAIS DMV- ENDORSMENT - IDDI SANDALY

  Mimi Hidaya Mahita Ninamuunga Mkono Iddi Sandaly Kwenye Urais wa DMV.
DMV iko juu kutokana na Uongozi Bora wa Iddi. 
Iddi Amekuwa mfano wa kuigwa sio tu DMV bali kwa jumuiya zote za USA.

Amekuwa mbele kwenye mambo muhimu ya Diaspora. 
Anawaheshimu Kina Mama na Kina Baba, Watoto na Wazee.

DMV tunahiji kuiongozi mwenye hikma, busara na Mwongozo Bora.

Jiunge Nami Jumamosi Hii Kumchagua Iddi Sandaly

Glenmont Local Park
3201 Randolph Rd 
Silver Spring, MD 20906

2:00PM

VOTE FOR IDDI SANDALY

No comments: