ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 14, 2014

NYAMA CHOMA YA SWAHILI CHAPEL NA TANZANIA COMMUNITY CHICAGO

Watanzania wa Chicago Swahili Chapel na Jumuiya ya Watanzania wa huko walijumuika pamoja kwenye nyama choma iliyofanyika Jumamosi Sept 13, 2014 katika viwanja vya chuo kikuu cha Chicago.
Watanzania wa Chicago wakipata nyama choma ya pamoja iliyoandaliwa na Swahili Chapel kwa kushirikiana na Jumuiya ya Watanzania Chicago.
Watanzania Chicago wakiwa kwenye nyama choma.
Afisa Ubalozi Dr. Mkama akijumuika na Watanzania wa Chicago.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.

No comments: