ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 14, 2014

YANGA 3 AZAM 0 JAJA APIGA 2 NGAO YA JAMII YAENDA YANGA



Kipigo cha kiama cha mabao kimeikuta Azam hii leo katika uwanja wa taifa
JAJA adhihilisha kuwa yeye ni mbrazil apiga mbili azam ikilala 3-0


Kocha Marcio Maximo akimpongeza Genilson Santana 'Jaja' baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Azam FC mechi Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Balo lingine lilifungwa na Simon Msuva. Credit African News

1 comment:

Anonymous said...

Tangu lini timu ya mpira wa miguu ikaitwa AZAM ICE CREAM.FC. kwani tupo umangani. ? . Pole wauza ice creamuuuuu,!!