Advertisements

Monday, November 10, 2014

MBUNGE WA MBEYA VIJINI LUCKSON MWANJALE (REV) AANGUKA GHAFLA BUNGENI


Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chanzo cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.  Picha kwa hisani ya Father Kidevu

No comments: