Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakatindege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye
matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Rais Bw.Morris Mbena baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye
matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mkuuwa Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazikatika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini
Dar es salaam baada ya kuwasili akitokea Marekani kwenye matibabu leo
Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wafanyakazi katikaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
salaam baada ya kuwasili akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba
29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa MajeshiJenerali davis Mwammunyange baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Jeshi laPolisi IGP Ernest Mangu baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamishna Jenerali waMagereza John Minja baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi MkuuwaIdara ya Usalama Bw. Rashid Othman baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na MamaMaria Nyerere baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye
matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na MamaMaria Nyerere baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye
matibabu leo Novemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na MamaMaria Nyerere baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye
matibabu leo Novemba 29, 2014
Mama Maria Nyerere akiongea na Mama Salma Kikwete katika Uwanjawa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
baada ya Rais Kikwete kuwasili akitokea Marekani kwenye matibabu leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea naMama Maria Nyerere aliyefika kuwapokea katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea nawaandishi wa habari na viongozi mbalimbali waliokuja kumlaki baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29,

Dua ilisomwa na viongozi mbalimbali wa dini baada ya RaisJakaya Mrisho Kikwete kumaliza kuongea na wanahabari mara tu
alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia wafanyakaziwa ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili ikulu akitokea
nchini Marekani kwenye matibabu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia wafanyakaziwa ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili ikulu akitokea
nchini Marekani kwenye matibabu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mashada ya mauakutoka kwa wafanyakazi wa Ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya
kuwasili Ikulu akitokea nchini Marekani kwenye matibabu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mashada ya mauakutoka kwa wafanyakazi wa Ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya
kuwasili Ikulu akitokea nchini Marekani kwenye matibabu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kadi ya pole toka kwa
mjukuu wake aziza Ridhiwani Kikwete mara baada ya kuwasili Ikulu
akitokea nchini Marekani kwenye matibabu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha na mwanaye
Khalifa Jakaya Kikwete wakati alipowasili Ikulu leo akitokea nchini
Marekani kwa matibabu.

.jpg)

4 comments:
kisha pona tezi dume na ku relax karibu nyumbani na stress za escrow.
ngoja tu comment hapa vile rais amezungumzia afya yake...
..kwasababu rais kazungumzia kwa kirefu issue yake ya prostate cancer...kwamba imegundulika ikiwa kwenye early stage(stage 2)...na kwamba kafanyiwa radical prostatectomy(total removal of prostate)..basi hata waliomshauri akafanyiwe hiyo operation wamebugi....maana madhara ya operation hii kwa prostate cancer ni mabaya ukilinganisha na option nyingine za management ya prostate cancer kwenye early stage...yaani radiotherapy ama watchful waiting with serial PSA PSA monitoring...
...Radiotheapy ama watchful waiting hazingekua na madhara makubwa kwa mgonjwa...haswa ukizingatia umri wa rais asingehitaji aggressive treatment...na pia ukizingatia kuwa prostate cancer ni slow growing cancer...
..radical prostatectomy(total removal of prostate) aliyofanyiwa rais ina madhara (kero)makubwa mawili ambayo ni erectile dysfunction (uhanisi)na urinary incontinence(kujikojolea)..uki achilia mbali ma hormonal imbalances....sasa haya ni nadhara ambayo hangeweza kuyapata kama angetibiwa kwa radiotherapy pekee... Maana hata hizi operations kama radical prostatectomy wala haziongezi overall survival (10 years or more)kwa mgojwa...bali zina improve tu ile disease specific mortality...Hawa kina Dr. PROFESSOR Mohammed Jenabi wanaomtibu rais wana kazi mbeleni.
tuome mungu tu but kila kitu si kukimbilia marekani.
wezi wanaacha wala nchi na watajisifu tu kwamba hakuna kitakacho watokea.ni vibaya sana kwa raisi kusema hajui kinachoendelea Dodoma,bora angekaa kimya tu.mwenye akili atafahamu tu kama hujui umekisemea nini?anakijua sema atawaafumbia macho tu si mtaona.
na tucheki afya zetu watanzania kwa vifaa vitendea kazi ghani mahospitalini mwetu tunavyoo?na tusio na fedha za kuruka kwenda marekani itakuwaje?
its so sad.yani achaa tuu mungu atasaidia tu lakini
Go bongo, the whole bureaucracy closes to welcome Mr President, is zat part of you job description guys?
Post a Comment